欧宝娱乐

Jpm Quotes

Quotes tagged as "jpm" Showing 1-2 of 2
Enock Maregesi
“Dikteta uchwara ni sifa nzuri au sifa mbaya? Tafakari. JPM ni kipenzi cha watu. Lissu ni kipenzi cha watu pia. Kupambana na kipenzi cha watu si kazi rahisi.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Dikteta uchwara ni sifa nzuri na Lissu analijua hilo kwa sababu yeye ni mwanasheria, na JPM analijua hilo kwa sababu yeye ni Rais wa nchi. Rais ni alama ya utulivu wa nchi. Hatima ya Lissu iko mikononi mwa JPM.”
Enock Maregesi