欧宝娱乐

Meli Quotes

Quotes tagged as "meli" Showing 1-3 of 3
Enock Maregesi
“Meli ya kwanza kuondoka katika Bandari ya Salina Cruz kusini mwa Meksiko katika Bahari ya Pasifiki ni 'La Diosa de los Mares', 'Mungu wa Bahari', au 'Goddess of the Seas', Tani 6000, iliyoondoka saa tisa kamili usiku kuelekea Miami nchini Marekani; wakati ya mwisho kuondoka ilikuwa CSS ('Colonia Santita of the Seas', Tani 10000), na SPD ('El Silencio Depredador del Profundo', 'Mnyama Mtulivu wa Kina Kirefu', 'The Silent Predator of the Deep' 鈥� nyambizi ya Panthera Tigrisi), zilizoondoka saa kumi na moja alfajiri kuelekea Guatemala na Kolombia. Salina Cruz ni sehemu iliyopo kandokando mwa Bahari ya Pasifiki kusini kabisa mwa Meksiko na kaskazini-mashariki kwa Reparo Jicara katika jimbo la Oaxaca. Kambi ya Panthera Tigrisi ilijengwa ndani ya Msitu wa Benson Bennett 鈥� katika ufuko wa bahari kubwa kuliko zote ulimwenguni, iliyopuliza hewa na kuyumbisha miti anuai juu ya maabara kubwa kuliko zote katika Hemisifia ya Magharibi; ya kokeini, heroini, bangi, eksitasi na hielo ya China na Kolombia. Panthera Tigrisi alikamatwa katika Bahari ya Pasifiki. Kahima Kankiriho alikamatwa katika Msitu wa Bennett.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Kiingereza kilipanda meli na ndege kutoka Uingereza kuja Afrika Mashariki. Tujivunie Kiswahili chetu.”
Enock Maregesi

Leo Tolstoy
“Jebk膩da 颈锄濒颈办拧补苍腻蝉 sp膿j piekr膩pt pa拧u gudr膩ko pieaugu拧o cilv膿ku, lai gan tas, k膩 saka, visam redz cauri; bet visaprobe啪ot膩kais b膿rns nojau拧 拧膩du izlik拧anos un nov膿r拧as no t膩s, vienalga, cik veikli t膩 b奴tu apsl膿pta.”
Leo Tolstoy, Anna Karenina