Å·±¦ÓéÀÖ

Mwaka 1896 Quotes

Quotes tagged as "mwaka-1896" Showing 1-1 of 1
Enock Maregesi
“Robert Louis Stevenson wa Uskochi aliponukuu nahau ya ‘kamera haiwezi kudanganyaâ€� katika kitabu chake cha ‘South Seasâ€� mwaka 1896, miaka 57 baada ya sanaa ya upigaji wa picha kugunduliwa, hakumaanisha tuwe asili. Hakumaanisha tusizirekebishe picha zetu baada ya kuzipiga na kuzisafisha! Alimaanisha tuwe nadhifu tuonekanapo mbele za watu au mbele ya vyombo vya habari; ambapo picha itapigwa, itasafishwa, itachapishwa na itauzwa kama ilivyo bila kurekebishwa.”
Enock Maregesi