Å·±¦ÓéÀÖ

Sokoni Quotes

Quotes tagged as "sokoni" Showing 1-1 of 1
Enock Maregesi
“Bara la Afrika ni tajiri kwa rasilimali kuliko mabara yote duniani. Lakini ni maskini kuliko mabara yote. Cha muhimu si kuwa na rasilimali ardhini. Cha muhimu ni kuwa na rasilimali sokoni.”
Enock Maregesi