Å·±¦ÓéÀÖ

Starehe Quotes

Quotes tagged as "starehe" Showing 1-2 of 2
Enock Maregesi
“Kufika hapa nilipofika leo nilijitolea vitu vingi na mambo mengi katika maisha yangu. Niliishi katika uhamisho wa kijamii kwa ajili ya mafanikio. Nilijitolea muda. Nilijitolea usingizi. Nilijitolea starehe. Wakati wengine wakienda baa mimi nilikuwa kazini. Wakati wengine wamelala, mimi nilikuwa macho nikifanya kazi. Wakati wengine wakiangalia vipindi pendwa vya televisheni, mimi nilikuwa nikiangalia vipindi visivyopendeka vya televisheni. Wakati wengine wana muda wa kuchezea, mimi nilikuwa nikiyaendesha maisha yangu kwa ratiba maalumu.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Kamwe usikubali kuwa mvivu, wala usikubali kuwa mlaodikia. Usikubali starehe za dunia hii kuwa kikwazo cha maendeleo yako ya kiroho ya kadari ya maisha yako. Palilia bustani yako ya kiroho, kuondoa magugu ambayo ni raha za dunia hii.”
Enock Maregesi