欧宝娱乐

Bora Quotes

Quotes tagged as "bora" Showing 1-3 of 3
Enock Maregesi
“Ukarimu ni bora kuliko hekima, na kulitambua hilo ndiyo mwanzo wa hekima.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Badilisha tabia. Badilisha mazingira ya maisha yako. Haijalishi una umri kiasi gani au wewe ni mwanamke au mwanamume, bado hujachelewa kubadili maisha yako kutoka duni kuwa bora 鈥� kuwa na amani, furaha na kuridhika. Kama desturi yako ni kuamka saa 12:00 asubuhi kila siku ili ufike kazini saa 2:00 asubuhi ambao ni muda wa serikali wa kuanza kazi, amka saa 11:30 asubuhi ili ufike kazini saa 1:30 asubuhi 鈥� nusu saa kabla ya kuanza kazi. Kama unafanya kazi ya taaluma uliyosomea lakini maisha hayaendi, fikiria kubadili mwelekeo wa maisha ikiwemo taaluma kufikia malengo uliyojiwekea.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Usipobadilika hutapata mwenza bora wa kuoana naye.”
Enock Maregesi