欧宝娱乐

Kesi Quotes

Quotes tagged as "kesi" Showing 1-3 of 3
Enock Maregesi
“Ford Bronco ilikuwa sehemu ya upelelezi wa polisi wa Tume ya Dunia, na ilipigwa mnada baada ya upelelezi na kesi kumalizika. Kiasi kikubwa cha pesa iliyopatikana kilikwenda kwa WPD 鈥� Idara ya Polisi ya Tume ya Dunia 鈥� ili iendelee kuimarisha huduma ya kukomesha biashara haramu ya madawa ya kulevya duniani.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Kitalifa ni utiifu kamili, woga, umbali (kwa maana ya kuwa mbali na biashara ya mamafia wengine mpaka kwa makubaliano maalumu) na nidhamu ya kutoshirikiana na mamlaka zote za serikali. Ukishtakiwa kwa kosa la madawa au ujambazi ambalo hukufanya, utatumikia kifungo mpaka mwisho bila kushirikiana na polisi (kwa maana ya kutaja aliyehusika au waliohusika na uhalifu huo) hata kama aliyehusika au waliohusika hana au hawana uhusiano wowote na Kolonia Santita. Falsafa ya Kitalifa ni Sheria ya Kitalifa ya Kiapo cha Swastika cha Kolonia Santita. Na adhabu ya kuvunja sheria hiyo ni kifo.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Usidharau kesi au ugonjwa, vitakudharau.”
Enock Maregesi