Kitabu Quotes
Quotes tagged as "kitabu"
Showing 1-6 of 6

“Kitabu cha KOLONIA SANTITA kinaweza kusomwa na watu wenye umri wa kuanzia miaka 13 na kuendelea. Katika umri wa miaka 13 fikra za mtoto huanza kuwa na maono na utambuzi wa vitu mbalimbali. Watoto katika umri huu wanao uwezo wa kuchambua dhana kadha wa kadha za kinadharia, na hali kadhalika wanao uwezo wa kuchambua nadharia tata zisizokuwa na uhakika, kama nadharia ya KOLONIA SANTITA.”
―
―

“Kitabu cha 'Kolonia Santita' ni kitabu cha wasomi na wasiokuwa wasomi, watu wa mijini na watu wa vijijini, watu wazima, vijana na watoto. Hadhira ya kitabu hiki ni jamii nzima ya Tanzania.”
―
―

“Di malam saat semua orang sibuk, menguap dan meninabobokkan rasa kantuk, kita malah asik saing mengusik, di atas mimpi-mimpi malam ini.”
― Kesengsem
― Kesengsem

“Kama kuna swali maarufu kuliko yote katika kitabu cha 'Kolonia Santita' ni "袣褌芯 袙褘, 谐写械 袙褘 芯褌, 懈 锌芯褔械屑褍 袙褘 胁 袦芯褋泻胁械?" lililoulizwa na 褌芯胁邪褉懈褖懈 (Komredi) Anatoly-Chaika, baada ya kumfikisha Murphy katika 'dacha' ya Kolonia Santita ya Yugo Zapadnaya. Murphy hakumwelewa Chaika. Lakini mwenzake na Chaika (Vladimir) alipouliza kwa tafsiri, "Wewe ni nani, unatoka wapi, na unafanya nini Moscow?" Murphy alimwelewa na kucheka akiwa amenuna. Bila swali hilo asingeokoka.”
―
―

“Kama George Bush angekuwa na amani ndani ya moyo wake na Saddam Hussein angekuwa na amani ndani ya moyo wake Vita ya Ghuba isingetokea. Vilevile, katika kitabu cha 鈥楰olonia Santita鈥�, kama Rais wa Tume ya Dunia angekuwa na amani ndani ya moyo wake na kiongozi wa Kolonia Santita angekuwa na amani ndani ya moyo wake Kolonia Santita isingepigana na Umoja wa Mataifa. Taifa lisingepigana na taifa, na mataifa yasingepigana na magaidi.”
―
―

“Wapo watu ukitaka kuwaua wambie wasome vitabu. Hata ukiwambia someni kitabu fulani kujikinga na kifo wako tayari kufa kuliko kusoma.”
―
―
All Quotes
|
My Quotes
|
Add A Quote
Browse By Tag
- Love Quotes 99k
- Life Quotes 78k
- Inspirational Quotes 74.5k
- Humor Quotes 43.5k
- Philosophy Quotes 30.5k
- Inspirational Quotes Quotes 28k
- God Quotes 26.5k
- Truth Quotes 24k
- Wisdom Quotes 24k
- Romance Quotes 23.5k
- Poetry Quotes 22.5k
- Life Lessons Quotes 21.5k
- Death Quotes 20.5k
- Quotes Quotes 19.5k
- Happiness Quotes 19k
- Hope Quotes 18k
- Faith Quotes 18k
- Inspiration Quotes 17k
- Spirituality Quotes 15.5k
- Religion Quotes 15k
- Motivational Quotes 15k
- Relationships Quotes 15k
- Life Quotes Quotes 15k
- Writing Quotes 14.5k
- Love Quotes Quotes 14.5k
- Success Quotes 13.5k
- Motivation Quotes 13k
- Time Quotes 12.5k
- Science Quotes 12k
- Motivational Quotes Quotes 11.5k