Å·±¦ÓéÀÖ

Mbele Quotes

Quotes tagged as "mbele" Showing 1-4 of 4
Enock Maregesi
“Wakati mwingine unakokwenda siko. Rudi nyuma. Ukirudi nyuma huko nyuma ndiko mbele yako.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Wakati mwingine tukitaka kutambulika hatuna budi kuweka mbele aibu ya heshima yetu.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Usidharau midomo ya watu. Kuna watu wanaona mbele.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Ukikaa nyuma yangu utafanikiwa, ukikaa mbele utaanguka.”
Enock Maregesi