Å·±¦ÓéÀÖ

Mioyo Yetu Quotes

Quotes tagged as "mioyo-yetu" Showing 1-2 of 2
Enock Maregesi
“Mungu ni baba yetu wa kiroho. Hivyo basi, tunajua ya kuwa upendo wake umehifadhiwa ndani ya mioyo yetu. Kwa hiyo, kila mtu ana upendo wa ‘agapeâ€� kwa kiasi fulani; lakini si upendo kamili. Upendo wa ‘agapeâ€� kati ya binadamu na binadamu unahusiana na upendo wa kujitolea kwa ajili ya binadamu wengine. Kila mtu ana kiasi fulani cha upendo huo. Mtu akitaka awe na upendo kamili wa ‘agapeâ€� sharti awe mtiifu na mnyenyekevu mbele za Mungu, na mbele ya binadamu wenzake, sharti ampende Mungu, na sharti ampende jirani yake kama anavyoipenda nafsi yake mwenyewe.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Ufalme wa Mungu umo ndani ya mioyo yetu; dunia yetu imo ndani ya vichwa vyetu, visogoni mwetu.”
Enock Maregesi