欧宝娱乐

Mtihani Quotes

Quotes tagged as "mtihani" Showing 1-2 of 2
Enock Maregesi
“Mama anaweza kufa ili mwanawe aishi, anaweza kufunga na kuomba ili mwanawe Mungu amsaidie ashinde mtihani wake, anaweza kulala njaa ili mwanawe ale, anaweza kujitolea vitu vingi au mambo mengi katika maisha yake ili mwanawe aishi vizuri, anaweza kuingia dhambini ili mwanawe asamehewe.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Unaposhindwa katika mtihani wa kimaisha, usiangukie nyuma, angukia mbele.”
Enock Maregesi