Å·±¦ÓéÀÖ

Nchi Yako Quotes

Quotes tagged as "nchi-yako" Showing 1-4 of 4
Enock Maregesi
“Isaidie nchi yako ikiendelea kukusaidia.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Kama huijui historia ya Zanzibar kwa nini unajiita Mtanzania? Uzalendo ni pamoja na kuijua nchi yako.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Kwa vile kura yako ni sauti yako ongea na nchi yako kwa kupiga kura sahihi bila kukosea au bila shinikizo la rushwa au dini au kabila au ushabiki, kwa ajili ya maendeleo yako na ya nchi yako.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Ongea na nchi yako kwa kupiga kura sahihi.”
Enock Maregesi