Å·±¦ÓéÀÖ

Tanzanian Quotes

Quotes tagged as "tanzanian" Showing 1-2 of 2
Enock Maregesi
“Kama huijui historia ya Zanzibar kwa nini unajiita Mtanzania? Uzalendo ni pamoja na kuijua nchi yako.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Kuna tetesi kuwa Julius Nyerere alipewa tuzo ya MBE na malkia wa Uingereza akiwa rais wa Tanzania! Lakini aliikataa! Kwa nini? Kwa sababu angeonekana Mwingereza zaidi kuliko Mtanzania! Januari 26, 1996 akapewa Tuzo ya Kimataifa ya Amani ya Mahatma Gandhi ya mwaka 1995, ya kwanza kabisa, iliyotolewa na Serikali ya India. Lakini hiyo pia akaikataa! Kwa sababu Mahatma Gandhi alimwaga damu katika harakati zake za kuwang'oa wakoloni barani Afrika! Kama ni kweli, hakuna kujitolea kuliko huko.”
Enock Maregesi