Å·±¦ÓéÀÖ

Omba Quotes

Quotes tagged as "omba" Showing 1-2 of 2
Enock Maregesi
“Kitu cha kwanza jiulize unataka nini. Halafu omba, kwa mungu yoyote unayemwamini. Kisha amini, kwamba umepata, hadi utakapopata.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Ukila chakula mwili wote unafaidi! Ukiomba kitu kwa Mungu omba kwa ajili ya wote.”
Enock Maregesi