欧宝娱乐

Sigara Quotes

Quotes tagged as "sigara" Showing 1-6 of 6
Enock Maregesi
“Ujanja wote ulimwisha Murphy. Ilimbidi kutoboa siri ili adui asizidi kumuumiza. Alilaumu mno kufa wakati alishakula ng鈥檕mbe mzima. Alifikiri Mogens na Yehuda walishauwawa kulingana na hasira nyingi za magaidi. Walihakikisha hawafanyi makosa hata kidogo. Alivyomaliza kumhoji, yule adui alizunguka nyuma katika mgongo wa Murphy na kwenda katika dirisha lililokuwa wazi 鈥� la mashariki 鈥� ambapo aliegemea na kuvuta sigara. Alichungulia kidogo nje kisha akageuka na kuendelea kupata upepo mdogo wa baridi.”
Enock Maregesi, Kolonia Santita

Ceren Garip
“Gecenin iki ucu aras谋na s谋k谋艧谋p kalm谋艧 bedenler olarak, sigaras谋n谋 t眉tt眉r眉rken, ald谋臒谋 her nefesi sorgulayan benden ba艧ka kimse var m谋d谋r?”
Ceren Garip, Hik芒ye H谋rs谋z谋

Enock Maregesi
“Sigara zilizidi kuvutwa, ndani ya nyumba, na magaidi wale wawili, wakati Murphy akisinzia kudanganyia kama kweli nguvu zilishamwisha. Alimfikiria tena mpenzi wake Sophia, safari hii sana. Alimkumbuka Debbie; hakujua alikuwa wapi na hakujua mama yake angefanya nini kama Debbie angekufa, na Murphy ndiye aliyetoka naye. Debbie alimuuma zaidi. Alimkataza kufa kwa ajili ya mchumba wake. Sasa alikufa kwa ajili ya mtu ambaye hakumjua. Murphy alijilaumu kumtongoza na kumchukua kwao na kulala naye na kula chakula chake cha kifalme. Wazazi wake wangejisikiaje kama angekufa, tena katika mazingira ya kutatanisha kama yale. Kufa alijua angekufa; lakini Mungu angemsaidia, awaage watu wake.”
Enock Maregesi, Kolonia Santita

Orhan Pamuk
“Sigara ister misin, sinirini, 枚蹿办别ni al谋r. S眉leyman鈥櫮眓 h芒l芒 枚蹿办别si burnunda.”
Orhan Pamuk, Kafamda Bir Tuhafl谋k

Mehmet Murat ildan
“Bedenine sayg谋 duymayan insan 枚nce bedeninden bu sayg谋n谋n g枚sterilmesi i莽in uyar谋lar al谋r ve e臒er sayg谋s谋zl谋k devam ederse bir at谋n sahibini 眉st眉nden f谋rlat谋p atmas谋 gibi ciddi bir yan谋t yoldad谋r!”
Mehmet Murat ildan

“(...) duman谋 i莽ine 莽ekiyor, 诲眉艧眉苍肠别濒别谤 zihninin k枚艧elerini turluyordu.”
Tolga G枚k莽en, Yaln谋zla艧an 陌nsan