Å·±¦ÓéÀÖ

Ubaguzi Quotes

Quotes tagged as "ubaguzi" Showing 1-4 of 4
“Dunia nzima kuna ubaguzi wa Ndani na Nje toka miaka mingi tuu”
Chrisper Malamsha

Enock Maregesi
“Ubinafsi ni ubaguzi na ubaguzi ni ubinafsi.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Ubaguzi ni ubinafsi lakini hakuna ubinafsi mbaya kama ubaguzi.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Vita ni vilevile, ukoloni ni uleule, ubaguzi ni uleule, umaskini ni uleule, harakati za kijamii ni zilezile, matabaka ni yaleyale. Kwa nini tusiseme historia inajirudia? Tunatakiwa kujifunza kutokana na makosa tuliyoyafanya katika historia.”
Enock Maregesi