欧宝娱乐

Wimbo Quotes

Quotes tagged as "wimbo" Showing 1-1 of 1
Enock Maregesi
“Kilio kikuu cha Yesu, 鈥淓loi, Eloi, lama sabakthani?鈥�, yaani, 鈥淢ungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?鈥�, na 鈥淚mekwisha鈥�, vilitabiriwa katika Zaburi 22 ili watu waliompinga Kristo waamini kama Yesu alikuwa Masihi. Zaburi 22 ulikuwa wimbo maarufu katika kipindi cha karne ya kwanza, kipindi ambacho Yesu alizaliwa na kufa, uliotungwa na mfalme Daudi, ulioitwa 鈥榸aburi ya mateso na matumaini ya mwadilifu鈥�. Kwa hiyo Yesu aliposema maneno hayo yaliwaingia watu akilini, na kuanzia hapo imani hasa ya Ukristo ikachukua kasi hadi leo hii. Zaburi 22 inaanza na 鈥淢ungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?鈥� na inaisha na 鈥淚mekwisha鈥�, miongoni mwa maneno saba aliyoyasema Yesu pale msalabani Golgotha. Kwa hiyo, Zaburi 22 ni utabiri wa kifo cha Yesu.”
Enock Maregesi