Å·±¦ÓéÀÖ

Four Arms Quotes

Quotes tagged as "four-arms" Showing 1-2 of 2
Enock Maregesi
“Sayari yetu hujulikana kama Dunia na jua letu hujulikana kama Sol. Dunia imo ndani ya mfumo wa jua wa Sol. Mfumo wa jua wa Sol umo ndani ya mfumo wa jua wa Sol Sector au Solar Interstellar Neighborhood, kwenye wenzo wa Orion wa falaki ya Njiamaziwa, wenye mifumo ya jua zaidi ya 40 ikiwemo Alpha Centauri, Nemesis, Procyon na Sirius. Solar Interstellar Neighborhood imo ndani ya falaki ya Njiamaziwa yenye nyenzo nne zinazozunguka kwa pamoja na falaki nzima. Falaki ya Njiamaziwa imo ndani ya kishada (‘clusterâ€�) chenye zaidi ya falaki 55 ikiwemo Andromeda, Leo A, M32 na Triangulum, kinachojulikanacho kama ‘the Local Galactic Groupâ€�. ‘The Local Galactic Groupâ€� imo ndani ya mfumo wa kishada kikubwa zaidi kiitwacho Virgo Supercluster, chenye makundi zaidi ya 100 ya falaki. Virgo Supercluster imo ndani ya mfumo mwingine mkubwa zaidi wa vishada uitwao Laniakea (Local Supercluster) wenye vishada zaidi ya 500 vya falaki. Hapo ndipo mwisho wa ulimwengu wetu unaoweza kuonwa na wanasayansi wetu. Kutoka duniani mpaka Laniakea ni umbali wa kilometa bilioni trilioni 250, miaka bilioni 13.8 iliyopita.”
Enock Maregesi

Laurence Galian
“The fetus is a body within a body. This is massive human sacrifice and irrationality. It is an absurdity to say that the fetus is part of the woman's body, for this argument is unscientific and illogical. The fetus is not part of a woman's body. If a pregnant woman is carrying a male child, would we argue that this woman's body consists of four arms, four legs, two heads, a vagina, and a penis? A moment's thought about this reveals the absurdity of the argument that the fetus is part of the woman's body.”
Laurence Galian, Alien Parasites: 40 Gnostic Truths to Defeat the Archon Invasion!