Swahili Quotes
Quotes tagged as "swahili"
Showing 1-18 of 18

“Kiswahili ni lugha rasmi ya nchi za Tanzania, Kenya na Uganda. Ni lugha isiyo rasmi ya nchi za Rwanda, Burundi, Msumbiji na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Lugha ya Kiswahili ni mali ya nchi za Afrika ya Mashariki, si mali ya nchi za Afrika Mashariki peke yake. Pia, Kiswahili ni lugha rasmi ya Umoja wa Afrika; pamoja na Kiarabu, Kiingereza, Kifaransa, Kireno na Kihispania. Kiswahili ni lugha inayozungumzwa zaidi nchini Tanzania kuliko nchi nyingine yoyote ile, duniani.”
―
―

“Kiswahili ni lugha ya Kibantu na lugha kuu ya kimataifa ya biashara ya Afrika ya Mashariki ambayo; maneno yake mengi yamepokewa kutoka katika lugha za Kiarabu, Kireno, Kiingereza, Kihindi, Kijerumani na Kifaransa, kutoka kwa wakoloni waliyoitawala pwani ya Afrika ya Mashariki katika kipindi cha karne tano zilizopita.
Lugha ya Kiswahili ilitokana na lugha za Kisabaki za Afrika Mashariki; ambazo nazo zilitokana na Lugha za Kibantu za Pwani ya Kaskazini Mashariki za Tanzania na Kenya, zilizotokana na lugha zaidi ya 500 za Kibantu za Afrika ya Kusini na Kati.
Lugha za Kibantu zilitokana na lugha za Kibantoidi, ambazo ni lugha zenye asili ya Kibantu za kusini mwa eneo la Wabantu, zilizotokana na jamii ya lugha za Kikongo na Kibenue 鈥� tawi kubwa kuliko yote ya familia ya lugha za Kikongo na Kinijeri katika bara la Afrika. Familia ya lugha za Kikongo na Kibenue ilitokana na jamii ya lugha za Kiatlantiki na Kikongo; zilizotokana na familia ya lugha za Kikongo na Kinijeri, ambayo ni familia kubwa ya lugha kuliko zote duniani kwa maana ya lugha za kikabila.
Familia ya lugha ya Kiswahili imekuwepo kwa karne nyingi. Tujifunze kuzipenda na kuzitetea lugha zetu kwa faida ya vizazi vijavyo.”

“For the rest of my life, Zanzibar will be the Swahili word for rain. The rain would drizzle, spit, mist, downpour, shower, torrent, gust, deluge and blast. At one point it hit the ground so hard it created a haze as it bounced back up two feet and fell a second time.”
― If Your Dream Doesn't Scare You, It Isn't Big Enough: A Solo Journey Around the World
― If Your Dream Doesn't Scare You, It Isn't Big Enough: A Solo Journey Around the World

“I have written all the 406 pages of my book in Swahili words. Even the countries are in Swahili. Instead of 'Nigeria', for example, I have written 'Nijeria'. That is how it is written in the Swahili dictionary. This can seem as a minor detail and that people may find my mission close to ridiculous! However, single letters and commas matter.”
―
―

“Lakini Kiswahili kilizaliwa Afrika Mashariki. Kwa nini hatuithamini lugha yetu? Kwa nini hatuzithamini lugha zetu za makabila? Kwa nini hatuipendi na kuitetea lugha yetu ya taifa ambayo ndiyo lugha ya biashara na mawasiliano ya Afrika Mashariki? Kwa nini hatuvitetei vizazi vijavyo kwa kuvitetea vizazi vya leo?”
―
―

“Wajerumani, hata hivyo, wakati wa utawala wao waliruhusu Kiswahili kiwe lugha halisi ya taifa nchini Tanzania kwa vile hawakukiongea Kiingereza wala hawakukipenda. Ndiyo maana Kiswahili kinazungumzwa zaidi nchini Tanzania kuliko Kenya au Uganda.”
―
―

“Andika Kiswahili vizuri. Wala usiogope kuonekana mshamba. Kwa sababu unachokifanya hasa ni kwa ajili ya vizazi vijavyo.”
―
―

“Komandoo Nicolas Kahima Kankiriho ('Kahima the Warrior') alizaliwa katika Wilaya ya Bushenyi, Ankole, kusini-magharibi mwa Uganda, Julai 24, 1954, mtoto wa tano kuzaliwa, katika familia ya watoto sita ya Nicodemas Kankiriho; mzee wa heshima wa Wabaima, aliyekuwa akisifika sana kwa uchungaji (wa mifugo) na msisitizo mkali wa ukiristo kwa watoto wake wote; hasa Kahima na Yebare, binti yake wa pekee, aliyekuwa wa mwisho kuzaliwa.
Kahima (futi 6 inchi 3 aliyekuwa akiongea Kinyankole, Kiswahili, Kiingereza na Kihispania kwa ufasaha), baada ya kutoka Uganda 鈥� kwa mafunzo ya mwanzo ya ukomandoo ya Kiisraeli 鈥� alikwenda Urusi na Korea ya Kaskazini ambako aliongeza ujuzi hadi kiwango cha juu kabisa; kabla ya kwenda Amerika ya Kusini, kama askari wa msituni wa vyama vya kisiasa visivyo rasmi vya magorila wa Kolombia.
Akiwa Kolombia, Kahima alikutana na Eduardo Chapa de Christopher (kiongozi wa zamani wa Kateli ya Diablos de Amazonas, Mashetani wa Amazoni, iliyokuwa ikivilinda vyama vya kisiasa vya magorila vya Americas) ambaye alimwajiri kama mlinzi binafsi na baadaye kama mlinzi binafsi wa Carlos Pulecio Alc谩ntara 鈥� kiongozi wa kwanza wa Kateli ya Kolonia Santita. Alc谩ntara alipouwawa, Kahima alihamia kwa Panthera Tigrisi 鈥� Kiongozi Mkuu wa Kolonia Santita.”

“An Indian child is brought up in England, and he will speak both English and Hindi very well. English in school and Hindi at home. But here it鈥檚 English both in schools and at home. Why can鈥檛 you speak Swahili with your child at home? If this continues we will turn into an English speaking country.”
―
―

“People speak broken Swahili on purpose. Business people for instance will speak Sheng 鈥� a mixture of Swahili and English 鈥� because that鈥檚 what people want to hear. And what is the government doing? They speak broken Swahili most of the time. Swahili is getting lost and I am really sorry for the future generations.”
―
―
“i DO NOT WHY BUT i KEEP THINKING OF YOU, WHAT DID YOU EVER DO TO ME?
I have tried na nikashindwa kukudelete from my system, IMEKATAA.
i KNOW YOU HAVE TRIED TOO, IT LEAVES ME WONDERING WHAT IS THESE.
It can only be explained by the gods.”
―
I have tried na nikashindwa kukudelete from my system, IMEKATAA.
i KNOW YOU HAVE TRIED TOO, IT LEAVES ME WONDERING WHAT IS THESE.
It can only be explained by the gods.”
―

“Novelists and the literary world play an important part in shaping languages. The Swahili they write influence the readers and their languages. The literary obstacle in Tanzania is not that people do not read, but that they don鈥檛 read because there are no interesting writers.”
―
―

“Kiingereza kililetwa na wakoloni wa Kiingereza kutoka Uingereza na walikitumia katika masuala yote ya kiutawala ya Afrika Mashariki. Kililetwa pia na wamisionari waliojenga shule na kuwafundisha Kiingereza wanafunzi na walimu na watu wengine wa kawaida, kwa lengo la kuwasaidia katika kazi yao ya kueneza dini kama wakalimani, hivyo kufanya Kiingereza kienee zaidi kuliko Kiswahili.”
―
―

“Hata wamisionari, hasa wamisionari wa Kiprotestanti, hawakukitumia Kiingereza katika kueneza dini kwa sababu hadhira yao isingewaelewa. Badala yake walitumia lugha za makabila ya Kiswahili, hivyo kujikuta wakieneza zaidi utamaduni wa Kiswahili kuliko wa Kiingereza au Kijerumani.”
―
―
“Roho ya Badman Killa ni jambo moja lenye nguvu ambalo unajikuta ukitaja. Ikiwa huu sio ushuhuda kwamba DON SANTO ni kutoka kwa mungu, basi sijui ni nini. Dah!”
―
―

“Il y a quelque temps, j鈥檃i 茅crit un livre sur l鈥檋istoire du Congo en trois versions, dont en swahili鈥�, dit-il. Et d鈥檃jouter : 鈥滼e me suis rendu compte qu鈥檃u Congo, si les gens s鈥檈xpriment en Kiswahili, ils doivent aussi apprendre 脿 le lire. Mais rien ne leur est propos茅 en swahili, car il n鈥檡 a pas d鈥檃uteurs qui 茅crivent en swahili”
―
―

“Je veux attirer l鈥檃ttention de tout le monde sur la situation des enfants. Car ce sont eux les dirigeants de demain, les parents de demain. D鈥檌ci 脿 2030, la population Congolaise va doubler. Le nombre d鈥檈nfants sera aussi multiplier par deux. Ainsi donc, toutes les d茅cisions prises doivent tenir compte de leur situation, parce qu鈥檌l faut pr茅parer leur avenir.”
―
―

“Le swahili n鈥檈st pas une langue de vauriens. Par contre, il fait partie des dix grandes langues au monde. Et quand on consid猫re les autres langues comme le Fran莽ais ou l鈥橝nglais, il y a des auteurs qui publient des ouvrages dans ces langues, des dictionnaires mis 脿 jour, il existe m锚me des acad茅mies. Maintenant, les Congolais doivent apprendre 脿 parler et 脿 茅crire correctement le swahili en respectant les r猫gles”
―
―
All Quotes
|
My Quotes
|
Add A Quote
Browse By Tag
- Love Quotes 99k
- Life Quotes 78k
- Inspirational Quotes 74.5k
- Humor Quotes 43.5k
- Philosophy Quotes 30.5k
- Inspirational Quotes Quotes 28k
- God Quotes 26.5k
- Truth Quotes 24k
- Wisdom Quotes 24k
- Romance Quotes 23.5k
- Poetry Quotes 22.5k
- Life Lessons Quotes 21.5k
- Death Quotes 20k
- Quotes Quotes 19.5k
- Happiness Quotes 19k
- Hope Quotes 18k
- Faith Quotes 18k
- Inspiration Quotes 17k
- Spirituality Quotes 15.5k
- Motivational Quotes 15k
- Religion Quotes 15k
- Relationships Quotes 15k
- Life Quotes Quotes 15k
- Writing Quotes 14.5k
- Love Quotes Quotes 14.5k
- Success Quotes 13.5k
- Motivation Quotes 13k
- Time Quotes 12.5k
- Science Quotes 12k
- Motivational Quotes Quotes 11.5k