欧宝娱乐

Wahalifu Quotes

Quotes tagged as "wahalifu" Showing 1-1 of 1
Enock Maregesi
“Usiwe na wasiwasi, Peter. Hizo ni hisia zangu tu. Huwezi kuwa mpelelezi. Lakini, kusema ule ukweli, ningependa sana kuonana na John Murphy. Kuna kazi binafsi ningependa kumpa. Wewe unatoka Afrika, hujawahi kumwona?鈥� Debbie alizidi kumshtua Murphy.
鈥淣ani?鈥� Murphy aliuliza huku akitabasamu.
鈥淛ohn Murphy wa Afrika.鈥�
鈥淪ijawahi kumwona. Mbona unamuulizia hivyo?鈥�
Debbie alitulia. Kisha akarusha nywele ili aone vizuri.
鈥淣ampenda sana!鈥�
鈥淜wa nini?鈥�
鈥淪impendi kwa mahaba, lakini.鈥�
鈥淣diyo. Kwa nini?鈥�
鈥淥K. Nampenda kwa kipaji chake. Alichopewa na Mungu, cha ujasusi. Kusaidia watu.鈥�
鈥淎haa!鈥� Murphy alidakia, sasa akifikiri sana.
鈥淢urphy ana mashabiki wengi hapa Meksiko bila yeye mwenyewe kujua, kwa sababu ya kupambana na wahalifu wa madawa ya kulevya 鈥� hasa wa huku Latino. Tatizo lake haonekani. Wengi hudhani ni hadithi tu, kwamba hakuna mtu kama huyo hapa duniani.鈥�
鈥淗apana! Murphy yupo! Ni mfanyabiashara maarufu huko Tanzania. Lakini ndiyo hivyo kama unavyosema ... Haonekani!”
Enock Maregesi, Kolonia Santita