欧宝娱乐

Atp Quotes

Quotes tagged as "atp" Showing 1-5 of 5
Joseph Mercola
“Glyphosate also interferes with ATP production by affecting your mitochondrial membranes. When coupled with the so-called inert solvents included in Roundup, the toxicity of glyphosate is magnified as much as 2,000-fold. This makes the membrane more permeable, allowing the glyphosate to go straight to the heart of the mitochondria.”
Joseph Mercola, Fat for Fuel: A Revolutionary Diet to Combat Cancer, Boost Brain Power, and Increase Your Energy

Enock Maregesi
“ATP hutumika katika kipindi ambapo mtu anakuwa amekata tamaa kabisa katika jambo lolote analolifanya, na yeyote anayetumia ATP ana uwezo mkubwa wa kufanikiwa katika maisha yake. Hivyo, usikate tamaa, jitahidi kwa kadiri ya uwezo wako WOTE.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Kila binadamu ana nguvu ya ziada katika mwili wake ijulikanayo kitaalamu kama ATP. ATP (鈥楢denosine Triphosphate鈥�) ni molekuli ndogo zaidi iliyoko ndani ya seli ambayo kazi yake ni kutengeneza nguvu ya ziada kwa ajili ya seli, na kwa ajili ya mwili mzima kwa jumla, pale mwili unapoonekana kukata tamaa au kuishiwa na nguvu kabisa. Ni kama jenereta ya umeme kwa ajili ya seli, inayofanya kazi pale umeme wa kawaida unapokatika.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“ATP inaweza kukusaidia kupata akili na nguvu ya kufanya jambo ambalo katika hali ya kawaida lisingewezekana. Wakati mwingine unaweza kufanya jambo hata wewe mwenyewe ukashangaa umelifanyaje. Unaweza kwa mfano kufukuzwa na mnyama mkali ukapenya mahali ambapo, katika hali ya kawaida usingepenya. Sasa usishangae tena. Kilichofanya upenye ni ATP.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Kuamsha ATP lazima kwanza ukate tamaa. Lazima kwanza uishiwe na nguvu. Kisha ujilazimishe, au ulazimishwe na mazingira, kufanya jambo.”
Enock Maregesi