Kiuasumu Quotes
Quotes tagged as "kiuasumu"
Showing 1-2 of 2

“Upendeleo na msamaha ni sumu na baraka ya usuluhishi miongoni mwa watu kwa mpangilio huo. Yaani, upendeleo ni sumu ya usuluhishi, msamaha ni baraka ya usuluhishi. Usuluhishi wenye msamaha, usiokuwa na upendeleo wowote, ni dawa ya uhusiano mwema miongoni mwa watu. Upendeleo ni sumu ya usuluhishi 鈥� Msamaha ni kiuasumu cha usuluhishi.”
―
―

“Kila sumu ina kiuasumu chake. Viuasumu vya 'cyanide' ni 'amyl nitrite', 'sodium nitrite', 'cyanokit', na 'sodium thiosulfate'. Kazi ya viuasumu hivi ni kuzalisha madini mengi ya chuma mwilini. Madini haya yatapambana na maada za rangi za uhai ('cytochromes') kwa ajili ya 'cyanide', ili 'cyanide' ing鈥檃ng鈥檃nie kwenye kiuasumu badala ya kung鈥檃ng鈥檃nia kwenye vimeng鈥檈nya vya seli za mwilini. Kiuasumu kinaposhinda mpambano huo; 'cyanide' hutolewa nje kwa njia ya mkojo, na mwathirika wa 'cyanide' hupona kabisa. 'Sodium thiosulfate' ndiyo bora zaidi kuliko 'amyl nitrite' au 'sodium nitrite', na ndiyo bora zaidi kuliko 'cyanokit'.”
―
―
All Quotes
|
My Quotes
|
Add A Quote
Browse By Tag
- Love Quotes 99.5k
- Life Quotes 78k
- Inspirational Quotes 74.5k
- Humor Quotes 43.5k
- Philosophy Quotes 30.5k
- Inspirational Quotes Quotes 28k
- God Quotes 26.5k
- Truth Quotes 24k
- Wisdom Quotes 24k
- Romance Quotes 24k
- Poetry Quotes 22.5k
- Life Lessons Quotes 21.5k
- Death Quotes 20.5k
- Quotes Quotes 19.5k
- Happiness Quotes 19k
- Hope Quotes 18k
- Faith Quotes 18k
- Inspiration Quotes 17k
- Spirituality Quotes 15.5k
- Motivational Quotes 15k
- Religion Quotes 15k
- Relationships Quotes 15k
- Life Quotes Quotes 15k
- Writing Quotes 15k
- Love Quotes Quotes 14.5k
- Success Quotes 13.5k
- Motivation Quotes 13k
- Time Quotes 12.5k
- Science Quotes 12k
- Motivational Quotes Quotes 11.5k