Å·±¦ÓéÀÖ

Kwa Nini Quotes

Quotes tagged as "kwa-nini" Showing 1-3 of 3
Enock Maregesi
“Kwa nini tuseme a.k.a na si k.k.k au k.n.k au k.a.k? Lazima tujifunze kuipenda na kuitetea lugha yetu kwa usumbufu wa vizazi vijavyo.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Kwa nini watu wana kawaida ya kuona thamani ya mtu baada ya mtu kufariki? Kwa nini watu wana kawaida ya kuona thamani ya pumzi katika kipindi ambacho mtu hana uwezo tena wa kuvuta hewa? Nini thamani ya pumzi? Thamani ya pumzi ni kukufanya uwe wewe na si udongo.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Ukitaka kujua kwa nini ya kila kitu endeleza nafsi yako kuwa huru!”
Enock Maregesi