欧宝娱乐

Pumzi Quotes

Quotes tagged as "pumzi" Showing 1-3 of 3
Enock Maregesi
“Ndani ya chumba, akiwa bado amechanganyikiwa, akiwa hajui Debbie alikokwenda, Murphy alisikia walinzi wakipiga kelele nje. Kamanda huwa anakuwa shetani nyakati kama hizo. Alibeba pumzi. Mikononi mwake akiwa na M-16, Debbie kichwani; Murphy alishangaza umati wa watu! Risasi zaidi ya sitini zilifyatuka katika bunduki, mlango wote ukabomoka 鈥� ndani ya sekunde kumi!”
Enock Maregesi, Kolonia Santita

Enock Maregesi
“Kwa nini watu wana kawaida ya kuona thamani ya mtu baada ya mtu kufariki? Kwa nini watu wana kawaida ya kuona thamani ya pumzi katika kipindi ambacho mtu hana uwezo tena wa kuvuta hewa? Nini thamani ya pumzi? Thamani ya pumzi ni kukufanya uwe wewe na si udongo.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Biblia inatuambia kuwa tuombe bila kukoma. Lakini tutaombaje bila kukoma? Njia mojawapo ya kufanya hivyo ni kutumia 鈥榤aombi ya pumzi鈥� kila siku kama ambavyo Wakristo wengi wamekuwa wakifanya kwa karne nyingi. Unachagua sentensi fupi au maneno rahisi kuhusu Yesu unayoweza kuyasema na kuyarudia kimoyomoyo kila siku katika kila pumzi inayoingia na kutoka ndani ya mapafu yako! Kwa mfano: 鈥淎sante Yesu.鈥� 鈥淯 pamoja nami.鈥� 鈥淣ataka kukujua.鈥� 鈥淣apokea neema yako.鈥� 鈥淣akutegemea wewe.鈥� 鈥淢imi ni wako.鈥� 鈥淣isaidie nikuamini.鈥� 鈥淯 Mungu wangu.鈥� 鈥淣aishi kwa ajili yako.鈥� 鈥淣isamehe dhambi zangu zote.鈥� Fundisha akili yako kumkumbuka Mungu kila wakati.”
Enock Maregesi