欧宝娱乐

Huru Quotes

Quotes tagged as "huru" Showing 1-5 of 5
Enock Maregesi
“Nilijifunza toka awali umuhimu wa kushindwa katika maisha ijapokuwa nilijitahidi sana, na nilipoendelea kushindwa niliweka nadhiri ya kufanya kitu kimoja kilicholeta maana zaidi katika maisha yangu nacho ni uandishi wa vitabu. Uandishi wa vitabu ndicho kitu pekee nilichokiweza zaidi kuliko vingine vyote na kuanzia hapo Mungu aliniweka huru. Nilijua mimi ni nani. Nilijua kwa nini nilizaliwa. Nilijifunza falsafa ya kuacha dunia katika hali nzuri kuliko nilivyoikuta 鈥� kwa sababu hata mimi nilikuwepo 鈥� na falsafa ya kushindwa si hiari. Maarifa hayo yakafanya niwe na heshima na upendo kwa watu wote.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Mungu hakutuumba ili tuwe roboti, ambayo hufanya kazi kama ilivyoelekezwa. Alituumba ili tuwe huru. Yaani, tuwe na uwezo wa kuchagua mema au mabaya 鈥� ndiyo maana akaweka Mti wa Maarifa ya Mema na Mabaya katika Bustani ya Edeni 鈥� ndiyo maana akamtuma Shetani kuwajaribu Adamu na Hawa, wazazi wetu wa kwanza.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Pambana na Shetani kwa upanga wa imani ambao ni ukweli kwani ukweli ndiyo utakaokuweka huru.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Endeleza nafsi yako kuwa huru!”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Ukitaka kujua kwa nini ya kila kitu endeleza nafsi yako kuwa huru!”
Enock Maregesi